photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > CHAMA CHA SIASA CHA ADC CHAKABIDHIWA USAJIRI WA KUDUMU

CHAMA CHA SIASA CHA ADC CHAKABIDHIWA USAJIRI WA KUDUMU

Posted on Aug 29, 2012 | No Comments

Mwenyekiti wa chama cha ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE ADC Bw.Said Miraji akiwasili katika mkutano mkuu wa chama hicho kwaajili ya kuongea wanachama wake  baada ya kukabidhiwa cheti cha kudumu na John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania jana katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es salaam.
 
Mwekiti wa Chama cha ADC Bw.Said Miraji katikati akiongea na wanachama wake mara baada ya kukabidhiwa cheti cha kudumu na John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania jana baada ya kutimiza masharti alioyoopewa. ambapo kilipatiwa usajili wa muda tarehe 26 machi 2012 (kulia) ni katibu mkuu wa chama cha (ADC) Bw Kadawi Lucas(kushoto)Mwanachama  wa chama FORD Bw.Ramadhani Mohamedi.
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika mkutano huowao uliofanyika kwenye hoteli ya Lamada jijini Dar es salaam jana.
Wanachama wa chama ADC wakiwasili katika mkutano huo huku wakiwa katika furaha.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru