PICHA ZA CLOUDS MEDIA GROUP WAKITOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA TANGA.
Posted on
Aug 29, 2012
|
No Comments
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioiakilichopo Raskazone, Tanga akimkaribisha Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon wakati alipoiongoza timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 kutoa misaada katika kituo hicho.
Watoto Yatima wa kituo cha Casadella Gioia wakiwakaribishawageni kwa kuwaimbia wimbo.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akiwakaribisha wagenimara baada ya kuungana na Watoto Yatima wa kituo Casadella Gioia mara baada ya timu nzima ya Clouds Media Group kutembelea kituo
hicho.
hicho.
Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akiwa amebeba moja ya mizigo
iliyotolewa.
iliyotolewa.
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioiakilichopo Raskazone, Tanga akipokea misaada kwa Afisa Mahusiano waClouds Media Group Simalenga Simon (wakiwa wameshikana Mikono)katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego.
Wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
Wasanii waliotembelea kituo hicho.
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akiwakaribisha wageni.