photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > CHUO KIKUU HURIA CHAZINDUA NEMBO YAKE YA SHEREHE ZA MIAKA 20

CHUO KIKUU HURIA CHAZINDUA NEMBO YAKE YA SHEREHE ZA MIAKA 20

Posted on Aug 1, 2012 | No Comments

 Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania  Dr John Samwel Malecela  akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa nembo Maalum ya kuadhimisha miaka ishirini ya
Chuo kikuu huria cha Tanzania ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika
kituo kipya cha Chuo kikuu huria Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es
salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha  Tanzania  Dr John Samwel Malecela wakwanza kushoto
akiwa kwenye picha ya pamoja na na baadhi ya Viongozi wa chuo hicho.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru