HUYU NDIYE MTOTO ALIYEZALIWA NA VICHWA VIWILI MKOANI MARA
Posted on
Aug 29, 2012
|
No Comments
Mtoto azaliwa na vichwa viwili katika hospital ya DDH Bunda Mara mtoto huyu alikaa kwa saa moja ni kisha kufariki dunia picha imepigwa na Berensi Alikadi mshiriki wa mafunzo ya Online Journalism yanayoendelea Mkoani Mara , Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mkufunzi Msaidizi Mkami Jr , Yakiratibiwa na UTPC