MGOMO WA WASAFIRISHAJI ABIRIA WAINGIA SIKU YA TATU BUKOBA MJINI..
Posted on
Aug 29, 2012
|
No Comments

Mgomo mkubwa wa wasafirishaji abiria waingia siku ya tatu Bukoba Mjini
Hali si shwari katika manispaa ya Bukoba baada ya mabasi yaendayo wilaya za mkoa wa Kagera kuendelea na mgomo.
Juhudi za kujadili kero zao na mkurugenzi wa manispaa zimegonga mwamba baada ya mkurugenzi kutoa kisingizio cha
kushughulikia sensa, utafikiri yeye ndo kamishna wa sensa kitaifa.
Baadhi ya madai yao:
1. Kulipishwa ushuru mkubwa kila uingiapo na kutoka stand ya bus
mfano ukiwa na basi aina ya costa ni sh. elfu tano (5000) kwahiyo ukipakia abiria awamu tano kwa siku ni elfu ishirini tano.
2. Ukarabati wa stand ambayo imechoka na haina hadhi ya manispaa, wasafirishaji wanashangaa mamilioni yanayokusanywa yanakwenda wapi? kama siyo ufisadi mtupu?
Msimamo wao;
Mgomo utaendelea mpaka tarehe 1/9/2012 siku ambayo mkurugenzi amewaahidi kukutana nao
Changamoto;
Katika kutunishiana misuli kati ya mkurugenzi na wasafirishaji, wanaoumia ni wananchi wasiokuwa na hatia, leo nimepita stand, ni kweupe kabisa hamna magari, wananchi ndo wapo wanabung'aaa macho infact hawajui la kufanya.
Hivi hawa viongozi wa manispaa mfano, meya, mkurugenzi, mkuu wa wilaya, sijui R.C, RAS, DAS .n.k
Huuu utitiri wa viongozi unatusaidia nini? if they cannot solve even these minor challenges?
toa maoni yenu wana jamvi, uwanja ni wenu,