MWAFUNZI WA UDOM KATIKA EPIQ BONGO STAR SEARCH DODOMA
Posted on
Aug 11, 2012
|
No Comments
Huyu ni Rosemary Mpangala, ana miaka 21 na ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Dodoma aka UDOM na yuko kwenye tano bora kutoka Dodoma! Pindi tulivyokuwa tunaongea naye tuligundua kuwa yeye ni msichana mwenye malengo, hajaja Epiq Bongo Star Search kwa ajili ya mauzo, amekuja kufanya kazi na kujiendeleza kimuziki. Amejipanga, anajiamini na ameFUNGUKA!