NURI SAHIN KUTOKA REAL MADRID AMWAGA WINO LIVERPOOL
Posted on
Aug 28, 2012
|
1 Comment
Kiungo mpya Liverpool Nuri Sahin anamalengo ya kuirudisha liverpool big four Barclays Premier League.
Sahin mwenye miaka 23 ameahimia Liverpool kutoka Real Madrid, aliriporti Anfield Jumamosi na siku inayofata aliangalia timu yake ikidraw 2-2 na Manchester city.

Nuri Sahin akiongea wakati akiwa Liverpool's Melwood uwanja wa majaribio.

Bosi wa liverpool Brendan Rodgers aliipiku Arsenal kumsaini Sahin's

kiungo wa kiturkish kutoka real madrid.
Sahin alihusishwa sana na kwenda Arsenal kabla ajamia Liverpool, yeye anaamini ajafanya makosa kwenda liverpool.
Sahin alijunga na Real mwaka jana akitokea kwa mabingwa wa ujerumani Borussia Dortmund mwaka 2010-11.
karibu ligi yenye sifa kaka
ReplyDelete