photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NURI SAHIN KUTOKA REAL MADRID AMWAGA WINO LIVERPOOL

NURI SAHIN KUTOKA REAL MADRID AMWAGA WINO LIVERPOOL

Posted on Aug 28, 2012 | 1 Comment

Kiungo mpya Liverpool Nuri Sahin anamalengo ya kuirudisha liverpool big four Barclays Premier League.
Sahin mwenye miaka 23 ameahimia Liverpool kutoka Real Madrid, aliriporti Anfield Jumamosi na siku inayofata aliangalia timu yake ikidraw 2-2 na Manchester city.
Plenty to say: Nuri Sahin speaks during a press conference at Liverpool's Melwood training ground
Nuri Sahin akiongea wakati akiwa Liverpool's Melwood uwanja wa majaribio.

The long and the shirt of it: Reds boss Brendan Rodgers pipped Arsenal to Sahin's signature
 Bosi wa liverpool Brendan Rodgers aliipiku Arsenal kumsaini Sahin's

Real pedigree: Turkey international midfielder Sahin is on a season-long loan from Madrid
kiungo wa kiturkish kutoka real madrid.

Sahin alihusishwa sana na kwenda Arsenal kabla ajamia Liverpool, yeye anaamini ajafanya makosa kwenda liverpool.
Sahin alijunga na Real mwaka jana akitokea kwa mabingwa wa ujerumani  Borussia Dortmund mwaka 2010-11.

Comments:1