photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI ACCRA KUSHIRIKI MAZISHI YA RAIS WA GHANA JOHN EVANS ATTA MILLS.

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI ACCRA KUSHIRIKI MAZISHI YA RAIS WA GHANA JOHN EVANS ATTA MILLS.

Posted on Aug 10, 2012 | No Comments

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jana Agosti 9, 2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa leo Ijumaa Agosti 10, 2012.(PICHA NA IKULU).

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru