BOLT ASHINDA MEDALI NYINGINE OLYMPIC
Posted on
Aug 10, 2012
|
No Comments

Usain Bolt akiangalia medali yake ya dhahabu baada ya kushinda jana katika mbio za mita 200 ikiwa ni dhahabu yake ya pili katika mashindano yanayoendelea ya Olympiki.