photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > REAL MADRID MABINGWA WA KOMBE LA MFALME HISPANIA, ANGALIA MECHI HIYO HAPA....

REAL MADRID MABINGWA WA KOMBE LA MFALME HISPANIA, ANGALIA MECHI HIYO HAPA....

Posted on Aug 30, 2012 | No Comments


Cristiano Ronaldo

Real Madrid 2-1 Barcelona (agg. 4-4)

Real Madrid wamebadilisha matokeo ya 3-2  kwenye mechi ya kwanza na barcelona, na kujinyakulia ubingwa wa kombe la mfalme kupitia magoli ya ugenini iliyopata Nou Camp.
Makosa mawili yaliyofanywa na mabeki wa barcelona mapema katika mechi hii yaliipa magoli ya haraka madrid kupitia Gonzalo Higuain na Christiano Ronaldo.
Mchezaji wa Barcelona Adriano alipata kadi nyekundu kwa kumvuta Ronaldo na hili liliwapunguza sana Barcelona nguvu lakin Lionel Messi aliweza kufunga goal la kufutia machozi kutoka kwenye free kick ambayo ilikuwa yardi 35 kutoka golini.
Timu zote mbili zilikosa nafasi nyingi sana za wazi lakini Real Madrid walikuwa wenye bahati leo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru