photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MAANDALIZI MKUTANO WA MAKAZI ITALIA

MAANDALIZI MKUTANO WA MAKAZI ITALIA

Posted on Aug 30, 2012 | No Comments

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwa ofisini kwake leo na mgeni wake, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Goodluck Ole Medeye. Mhe Medeye alikuja kumpa Mhe Spika muhtasari wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Makazi utakaofanyika Napole, Italia kuanzia tarehe 1 hadi 6 Septemba 2012 ambapo Spika makinda na maspika wengine kutoka bara la Afrika wamealikwa kushiriki.

 
Mhe. Ole Medeye akiutanbulisha ujumbe wa Tanzania utakaohudhuria mkutano huo. Ujumbe huu unahusisha taasisi mbalimbali kama vile Halmashauri, Sumatra, Wasafirishaji, wataalamu wa Ardhi na wataalamu wa Makazi

 

Spika Makinda akiuasa ujumbe huo kuhudhuria mkutano huo kwa lengo la kuikwamua na kuivusha Tanzania kutoka hatua moja kwenda nyingine. (Na Prosper Minja-Bunge)

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru