photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAFAHAMU NYOTA 10 WANAOLIPWA HELA NYINGI ZAIDI DUNIANI.

WAFAHAMU NYOTA 10 WANAOLIPWA HELA NYINGI ZAIDI DUNIANI.

Posted on Aug 28, 2012 | No Comments


Malkia wa Talk Shows, Oprah Winfrey ametajwa kwenye jarida la Forbes kwa mwaka wa nne mfululizo kama staa anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani.
List nzima ya nyota 10 wanaolipwa zaidi kwa mujibu wa Forbes ni hii:
Forbes Top 10 Highest Paid Celebrities 2012

1. Oprah Winfrey, $165 million

2. Michael Bay, $160 million

3. Steven Spielberg, $130 million

4. Jerry Bruckheimer, $115 million

5. Dr Dre, $110 million

6. Tyler Perry, $105 million

7. Howard Stern, $95 million

8. James Patterson, $94 million

9. George Lucas, $90 million

10. Simon Cowell, $90 million

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru