photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > ZOEZI LA SENSA KATIKA PICHA VISIWANI ZANZIBAR

ZOEZI LA SENSA KATIKA PICHA VISIWANI ZANZIBAR

Posted on Aug 28, 2012 | 1 Comment

  Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi
 Karani wa Sensa Wilaya  ya Kati Unguja Hassan Mussa Suleiman akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.
  Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Zainab Maulid Haji akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi
  Karani wa Sensa Wilaya  ya Kati Unguja Mwanaisha Ufuzo akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.
 Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar

Comments:1

  1. nasikia kuna watu wamesusia sensa jee hizi picha zao hazijapatikana.

    ReplyDelete