TASWIRA ZA VURUGU ZILIVYOTOKEA WAKATI WA UPIGAJI KURA JIMBO LA BUBUBU ZANZIBAR
Posted on
Sep 17, 2012
|
No Comments
Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar jana.
Polisi wa kutuliza ghasia wakiwa katika doria eneo la Bububu
Askari za Kutuliza Ghasia (FFU) akiwa amemweka chini ya ulinzi kijana mmoja wakati wa zoezi ya kuhesbu kura katika jimbo la Bububu
Kijana akitumbukiza kura yake kwenye kisanduku cha kupigia kura jwenye kituo cha Shule ya Bububu Zanzibar
Kiongozi wa chama cha siasa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari nje ya kituo cha kupigia kura jana.
Mawakala wa vyama tofauti vilivyoshiriki katika uchaguzi wa bububu wakifuatilia kwa makini maendeleo ya zoezi hilo
Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar jana. (pichani) Polisi wa kuzuia ghasia wakisaidiwa na kikosi cha Valantia kuwaondoa vijana waliojikusanya karibu na kituo cha kupigia kura kwenye Shule ya Bububu.