BENKI YA FNB YASHINDA TUZO YA BENKI UBUNIFU DUNIANI 2012
Posted on
Oct 12, 2012
|
No Comments

Oktoba
11, 2012 - Benki ya FNB imetambuliwa kama Benki ya Ubunifu 2012 kote
duniani na tume la Bai- Finacle Global Innovation Awards iliopo jifini
Washington, Americani
Tuzo ya Bai-Finacle Global Awards Innovation Banking zimeunduwa kuzawadia benki mbali bmali kote duniani amabazo hutengeneza bidhaa za ubunifu, huboresha michakato ya huduma na mafaniko mengine. Tuzo la Benki ubunifu zaidi unaendeshwa na ufahamu wa masoko, ufahamu wa wateja, utamaduni wa ubunifu ambao ni pamoja na mfumo wa uvumbuzi, na taratibu ambazo zimeungwa mkono na ngazi zote za uongozi.
Richard Hudson, Mkurugenzi Mtendaji wa benki FNB Tanzania alisema "Tunafurahia sana kwamba benki yetu imetambuliwa kama Benki ya Ubunifu Duniani mwaka 2012 na Bai-Finacle Global Innovation Banking Awards. Tuzo hii inaonyesha dhamira ya ubunifu wa benki yetu kwa kutoa huduma bora kwa wateja wetu kama kauli mbiu yetu “Tukusaidiaje!” Aliongezea kwamba benki ya FNB itazinduwa bidhaa za ubunifu wao kwa wateja wao hapa nchini Tanzania kama biashara yao inavyokomaa
Mbali
na kushinda tuzo ya Benki ya Ubunifu zaidi, benki ya FNB iliweza
kuchukuliwa pia katika makundi mengine, na huduma ya benki ya eWallet
ilitajwa katika tuzo ya Product/Service Innovation Award. Tuzo hii ya
Benki ya Ubunfu Duniani, inatambua na kuonesha dhamira inayoendelea kwa
uvumbuzi na maendeleo ya benki ya wateja. Ubunifu
hutambuliwa kwa bidhaa au huduma mpya duniani na kuongoza kuridhisha
wateja na kuwa na athari kubwa ya biashara kutokana na uwaminifu.
Baadhi ya bidhaa za ubunifu ambazo zimechangia kwa kushinda tuzo hiyo ni pamoja na:
· FNB Africa – Bank in a bag (Onsite account opening)
· FNB Banking Channels – the new dotFNB branches
· FNB Business Banking - Using New Media and Technology (in client engagement and marketing metrics)
· FNB HR - FNB Innovators (including Minivations)
· FNB Personal Banking - FNB Online SSA and Outward Payment Solutions, Fuel Rewards, FNB App & GeoPay
· FNB
Smart – FNB eWallet, FNB Cellphone Banking, Cardless Cash Withdrawal,
FNB Cellphone Banking Pay2Cell, FNB Cellphone Banking Facebook Vouchers
Benki
ya FNB inautamaduni wa kuwa na tuzo za ubunifu kila mwaka. Kila mwaka
benki inahimiza wafanyakazi kuwa wabunifu na kutekeleza ufumbuzi bora
kulingana na mikakati ya kampuni na kuendesha faida kwenye biashara.
Mwaka huu bidhaa zaidi ya 1,416 za ubunifu ambazo zimetekelezwa
kikamilifu zimeingizwa kwenye Tuzu za Benki na washindi watatangazwa
katika tukio la Gala Awards tarehe 25 Oktoba 2012 jijini Johannesburg,
Afrika Kusini.
MWISHO
