DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VIONGOZI WA TAKUKURU, JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Posted on
Oct 16, 2012
|
No Comments

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa
Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea,
mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa
Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, wakati
Makamu alipofika kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa
Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, nje ya
Ukumbi wa Mlimani City, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa
mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani
City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa
kumalizika kesho.