HII NDIYO CLIP MPYA YA TWILIGHT SAGA, BREAKING DOWN PART 2.. INATARAJIWA KUTOKA MWEZI UJAO.
Posted on
Oct 20, 2012
|
No Comments
Fans wa movies hususan series ya Twilight
wamewapongeza sana Robert Pattinson na Kristen Stewart kwa jitihada zao
walizozionesha kushoot scene ngumu za Twilight, Breaking down part 2 mara tu
baada ya kuona vipande vipya vya series hiyo yenye story ya kusisimua ikiwa ni
muendelezo wa series hiyo.
Series ya Twilight inazidi kujipatia
umaarufu mkubwa duniani ikiwa imependezeshwa sana na na Rober Pattinson na
girlfriend wake wa kweli kabisa Kristen Stewart ambao kwenye series hiyo pia
wamecheza kama wapenzi.
Hata hivyo penzi lao liliingia doa baada ya
Kristen kucheat na director wake na kujikuta akichukiwa hadi na fans wa series
hiyo, lakini sasa inaonekana wameyarudisha mapenzi yao kimya kimya.
Movie hiyo imeongozwa na Director Bill
Condon ambae ni mshindi wa tuzo za Oscar, na Twilight saga,Break down part 2
inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki itazinduliwa rasmi November 16 huko
Marekani.