JK AMTEUA PROFESA MWAJABU POSSI KUWA MWENYEKITI MPYA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA UTANGAZAJI (TBC).
Posted on
Oct 18, 2012
|
No Comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. jakaya Mrisho Kikwete.
Wakati
huo huo Waziri wa habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella
Mukara amemteua Bw. Christopher Mwita gachuma kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya.