MATUKIO YA GAME YA SIMBA VS KAGERA SUGER
Posted on
Oct 17, 2012
|
No Comments
Mshambuliaji
wa Simba, Felix Sunzu akishangilia bao la kwanza aliloifungia timu yake
dhidi ya Kagera Sugar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania
Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Timu
hizo zilitoka sare ya 2-2
Beki wa Kagera Sugar, Salum Kanoni (kushoto) akichuano na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi
Kiungo wa Kagera Sugar, Malegesi Mwangwa akichuana na mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa
Beki
wa Kagera Sugar, Amandus Nesta akimiliki mpira huku akizongwa na beki
wa Simba, Amir Maftah katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2