HAWA NDIYO WASHIRIKI WA MISS EAST AFRIKA 2012
Posted on
Nov 28, 2012
|
No Comments

Miss
East Africa 2012-Burundi. Warembo wa Miss East Africa 2012 wakiwa
katika vazi la ufukweni, jijini Dar es salaam. Shindano hilo litafanyika
tarehe 7 ijumaa wiki ijayo, kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es
salaam.
Yanaandaliwa
na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd na kudhaminiwa na TANAPA,
Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Ethiopian Airlines, Seascape Hotel,
Darlings Hair, Ako Catering, DTP, Satguru, na Clouds FM.

Miss East Africa 2012 Ethiopia.

Miss East Africa 2012 Eritrea.

Miss East Africa 2012 Kenya.

Miss East Africa 2012 Rwanda.

Miss East Africa 2012 Tanzania.

Miss East Africa 2012 Uganda.

Miss East Africa 2012 Somalia.