UZINDUZI WA JENGO LA OFISI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Posted on
Nov 28, 2012
|
No Comments

Rais
Jakaya Kikwete, Rais wa Kenya, Mwai Kibaki (wapili kulia) na Rais wa
Burundi, Pierre Nkurunzinza wakivuta kamba kuashiria ufunguzi wajengo
jipya la makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki mjini Arusha
Novemba 28,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Prince Karim Aga Khan katika sherehe za
uzinduzi wa jengo la Ofisi Kuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mjini
Arusha Novemba 28,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro,baada ya sherehe za
uzinduzi wa jengo la Ofisi kuu za Jumuiya ya Afrika Mashariki mjini
Arusha leo.