photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HII NDIYO DAWA YA KUZUIA NYUMBA NDOGO KWENYE MAHUSIANO.

HII NDIYO DAWA YA KUZUIA NYUMBA NDOGO KWENYE MAHUSIANO.

Posted on Nov 17, 2012 | No Comments


Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle*mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa futi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.

Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.


SOURCE BBC


Kazi kwako sasa
snowhite najua utaifurahia sana

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru