MMILIKI WA LAKE PRINTING AUWAWA JIJINI MWANZA
Posted on
Nov 18, 2012
|
No Comments
Mmiliki wa kiwanda cha kalatasi lake priting maarufu kwa
jina la mama chande.kauwawa na watu wanaosemekana majambazi jana jioni muda wa
saa kumi.nyumbani kwake maeneo ya kauma.majambazi walimuua na kuacha
wamemufungia chumbani kwake alikuwa hakiishi peke yake. Mmoja wa wafanyakazi
wake anasema bossi wake huyo. Hakuonekana kuanzia sa tisa unusu ilipofika saa 12
jioni ambapo sio kawaida alianza kupiga simu ikiita bila kujibiwa ilipo fika
saa 2 ucku alilipoti polisi baada ya polisi kufika ndio walipo amua kuvuja
mlango na kukuta marehemu kauwawa katobolewa macho na kuvunjwa mkono. Alikuwa
hakiishi palepale kiwandani kwake kiwanda kikiwa chini yeye golofani
R.I.P Mama
chande