photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KESI YA UAMSHO; SHEIKH FARID NA WENZAKE WADAI KUTESWA MAHABUSU

KESI YA UAMSHO; SHEIKH FARID NA WENZAKE WADAI KUTESWA MAHABUSU

Posted on Nov 20, 2012 | No Comments


 


Kesi inayowakabili viongozi wa Uamsho imeendelea leo katika mahakama ya Vuga huku Zanzibar ambapo imeelezwa mahakamani hapo kuwa upelelezi bado unaendelea. Kesi imeahirishwa hadi Rat 29 mwezi huu,

Mahakamani hapo Shelkh Farid amepata wasaa mfupi wa kutoa neno kwa watu na kuwahoji kama wanautaka muungano au lah ambapo watu walijibu kwa nguvu kuwa hawautaki. Pia akawataka waandishi wa habari wafike kwenye vyuo vya mafunzo (jela) wakajionee namna wafungwa wanafoteseka wakiwao wao.

Wamedai kuwa uongozi wa jela unawanyima ndugu zao haki ya kuwapelekea huduma kama maji ya kunywa na vyakula ambavyo huwa inaruhusiwa, lakini kwao wamepigwa marufuku kupelekewa huduma hizo.

Kesi itarejewa tena mahakamani tar 29 mwezi huu.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru