KWANINI MUKAMA ALIPIGWA CHINI UKATIBU MKUU CCM?..
Posted on
Nov 20, 2012
|
No Comments
Nakumbuka alipoteuliwa alianza kazi kwa mbwembwe nyingi,
akikomalia propaganda ya kujivua gamba lkn kadiri Siku zilivyoyoyoma akawa
kimyaaaaaaaaaa!!! Akimwacha Nape anahangaika vyake.
Nasikia pia yeye ndo alifanya utafiti na kumpelekea JK taarifa ya page nyingi yenye material yaliyopelekea JK kuja na single ya kujivua gamba nimelinganisha na kutofautisha mchango kati yake na Kinana nikaona angalau Mukama alifanya Kitu kuliko Kinana naleo nimemsikia kinana akisema baada ya uteuzi watu wanaisifia sekeetarieti iko safi.
Ebu nisaidieni sababu ya kuachwa Mukama ni nini?