USIOMBE UKUTANE NA MWANAMKE WA UJIJI-KIGOMA
Posted on
Nov 20, 2012
|
1 Comment
Habari wana Jamii Press..
Nimekuwa Kigoma sasa kwa muda wa takribani
miaka 3.
Kipindi nafika nikawa nasika story za wanawake wa Ujiji kuwa kama
kijana unataka upotelee kwenye dimbwi na mahaba..basi nenda ujiji.
Mwanzo
nikachukulia poa tu, kadri muda ulivyokwenda nikaanza kupata shuhuda kwa vijana
kuwa wale watu ni nomaaaa. Basi siku moja katika pitapita nikakutana nae bila
kujua anatokea wapi kumbeee...
Alikuwa Ujiji moja. Sitaki kuingia kwa undani
nini kilitokea lakn wale wadada ni nomaaa kwa hayo mambo wanajua vitu vingi
mno...
Nimekuwa nashuhudia wageni wengi wanaokuja wakinasa Ujiji ndo
hawabanduki.
Usiombe kukutana nao kama una mwezi wako...
Utaharibu
Hiyo ni kweli kabisa wadada toka pande hizo ni hatari sana na kama wewe ni bado barobaro hujayajua mapenzi vizuri utanasa,huwezi toka pale wao pamoja na wadigo wa Tanga na Mombassa wanashindana kwa kujua kuyatoa mahaba kwa kina kirefu sana,mwenzio nilikwamishwa na mdada wa kidigo tena nikiwa huku majuu nilikutana naye sehemu.
ReplyDelete