photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > USIOMBE UKUTANE NA MWANAMKE WA UJIJI-KIGOMA

USIOMBE UKUTANE NA MWANAMKE WA UJIJI-KIGOMA

Posted on Nov 20, 2012 | 1 Comment


Habari wana Jamii Press.. 
Nimekuwa Kigoma sasa kwa muda wa takribani miaka 3. 
Kipindi nafika nikawa nasika story za wanawake wa Ujiji kuwa kama kijana unataka upotelee kwenye dimbwi na mahaba..basi nenda ujiji. 
Mwanzo nikachukulia poa tu, kadri muda ulivyokwenda nikaanza kupata shuhuda kwa vijana kuwa wale watu ni nomaaaa. Basi siku moja katika pitapita nikakutana nae bila kujua anatokea wapi kumbeee...
Alikuwa Ujiji moja. Sitaki kuingia kwa undani nini kilitokea lakn wale wadada ni nomaaa kwa hayo mambo wanajua vitu vingi mno... 
Nimekuwa nashuhudia wageni wengi wanaokuja wakinasa Ujiji ndo hawabanduki. 
Usiombe kukutana nao kama una mwezi wako... 
Utaharibu

Comments:1

  1. Hiyo ni kweli kabisa wadada toka pande hizo ni hatari sana na kama wewe ni bado barobaro hujayajua mapenzi vizuri utanasa,huwezi toka pale wao pamoja na wadigo wa Tanga na Mombassa wanashindana kwa kujua kuyatoa mahaba kwa kina kirefu sana,mwenzio nilikwamishwa na mdada wa kidigo tena nikiwa huku majuu nilikutana naye sehemu.

    ReplyDelete