KUVAA NGUO ZA CHAMA KWENYE HALFA NA MATUKIO AU SIKUKUU ZA KITAIFA NI SAWA??.
Posted on
Dec 2, 2012
|
No Comments
Kuvaa nguo za chama wakati mnafanya jambo la kitaifa, kama
vile uzinduzi wa mradi fulani kwa ajili ya watanzania, hili ni jambo linaloashiria
umoja kweli? Au ni kuashiria utengano?
Mwalimu Nyerere alikuwa akifanya hivyo
wakati wa shughuri za kitaifa?
Na nchi za wenzetu je wanafanya hivyo wakati wa
shughuri za kitaifa?
