NASSARI AANIKA UFISADI WA MADIWANI WA CCM ARUMERU
Posted on
Dec 2, 2012
|
No Comments
Ameanika
ufisadi huo katika mkutano wa hadhara aliofanya sokoni tengeru jijini arusha jana.
Amesema madiwani hao wa CCM wamekataa mpango wake wa kujenga soko la
kimataifa hapo tengeru badala yake wamegawa vibanda kwenye eneo la soko na
kuwauzia matajiri wachache, hivyo basi hakutaka kushiriki kwenye mpango huo wa
kifisadi ndio sababu akasusa kikao cha council.
Kwahiyo amerudi kwa wananchi
kuwaeleza yanayotendeka ili wananchi waamue.
Lema pia alikuwepo kumsapoti Nasari na akasema CCM imeamua kuwaajiri Kinana na Mangula ili waendeleze uzoefu wao wa wizi katika chama cha mapinduzi.
Lema pia alikuwepo kumsapoti Nasari na akasema CCM imeamua kuwaajiri Kinana na Mangula ili waendeleze uzoefu wao wa wizi katika chama cha mapinduzi.