photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TRENI YA MWAKYEMBE INAPATA HASARA YA MILLIONI 10 KWA SIKU 5

TRENI YA MWAKYEMBE INAPATA HASARA YA MILLIONI 10 KWA SIKU 5

Posted on Dec 3, 2012 | No Comments


Mbunge wa Ubungo amesema' serikali inapata hasara ya sh 10 milioni kila baada ya siku tano, ni kutokana na maandalizi duni, amesema itafikia hatua usafiri huo utasimama kutokana na kuwa na miundombinu mibovu, pamoja na mipango hisiyoridhisha iliyofanywa na mawaziri wa uchukuzi waliopita. Je mh. Mwakyembe inamaana hakuliona ili tatizo?
Na kama kweli mh. Mnyika amefanya utafiti nakugundua kuwa mradi huu wa treni hautadumu nini kifanyike sasa? au ndiyo nguvu ya soda kwa serikali yetu?

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru