photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > UCHI AU KUTOKUVAA NGUO??..

UCHI AU KUTOKUVAA NGUO??..

Posted on Dec 3, 2012 | No Comments

Members,
Sijui ni mimi mwenyewe nakerwa na haya mambo au kuna wenzangu pia mnakereka.

Juzi Ijumaa Jioni Kuna rafiki yangu mmoja amekuja kunitembelea na kunisihi angalau Tutoke twende club ''klabu'' as alikua so strssed in that week angalau apunguze stress kidogo. Binafsi sina tabia ya kwenda club. so nikamkubalia kwa makubaliano ange take all the cost associated with the event.

Tukacahgua kwenda maisha Club, kule VIP section. Niliyokutana nayo sitakuja kusahau maishani mwangu. yaani kuna stage maalum ya mtu mmoja kucheza akiwa uchi amba wadada walikua wanapokezana kucheza kwenye hiyo stage with only their G-string like pants on.

Hii tabia sio hapa maisha Club tu, kuna Mabar mengi wanakua na mtindo wa kucheza uchi usiku.

Kama serikali inajua hili na inalifumbia Macho Basi we are done

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru