photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MTANZANIA AUAWA CHINA, MAITI YAFICHWA MWAKA MZIMA

MTANZANIA AUAWA CHINA, MAITI YAFICHWA MWAKA MZIMA

Posted on Apr 2, 2013 | No Comments



Maiti yawekwa chumvi tumboni, yakutwa haina macho
Mke aficha taarifa ya kifo, aolewa chapchap na rafiki wa mumewe
Na Haruni Sanchawa
KIFO cha mfanyabiashara wa Kitanzania, Mkumbukwa John Shayo, kimetawaliwa na mazingira yenye utata ambayo kwa uzito wake, inatosha kuyaita maajabu ya mwaka 2013.
Mkumbukwa, aliyefikwa na mauti akiwa na umri wa miaka 37, kifo chake kilichotokea China, kilifanywa siri nzito, hivyo kusababisha maiti yake, ikae mochwari karibu miezi 12 (mwaka mmoja) bila kuzikwa...



Toa Maoni Yako Kwa Uhuru