photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NSSF QUEENS YAIFUNGA ZSSF QUEENS 35-29 TAMASHA LA PASAKA.

NSSF QUEENS YAIFUNGA ZSSF QUEENS 35-29 TAMASHA LA PASAKA.

Posted on Mar 31, 2013 | No Comments


 Kikosi cha ZSSF Queens kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na NSSF Queens katika mchezo wa tamasha la Pasaka uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana mjini Zanzibar.

 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar (SMZ), mama Asha Seif Idd akifungua mashindano ya tamasha la Pasaka kwa timu za netiboli yaliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana mjini Zanzibar na kuzikutanisha timu za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Zanzibar (ZSSF)

  Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar (SMZ), mama Asha Seif Idd akifuatilia kwa makini mchezo wa netiboli wa tamasha la Pasaka kati ya ZSSF na NSSF uliofanyika kswenye uwanja wa Gymkhana mjini Zanzibar.

 Barke Mohamed wa ZSSF (katika) akichuana na mchezaji wa NSSF Queens

 Mchezaji wa NSSF, Matalena Mhagama akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa ZSSF Queens, Barke Mohamed.

Mashabiki wa timu ya NSSF Queens wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga ZSSF Queens 35-29 katika mchezo wa tamasha la Pasaka uliofanyika kweye uwanja wa Gymkhana mjini Zanzibar.
Kikosi cha timu ya NSSF Queens kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na ZSSF Queens. NSSF Queens ilishinda 35-29.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru