photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HAPANA CHEZEA TUNDA MAN, AONYESHA BASTOLA YAKE NA MKWANJA KUPITIA INSTAGRAM, CHEKI HAPA

HAPANA CHEZEA TUNDA MAN, AONYESHA BASTOLA YAKE NA MKWANJA KUPITIA INSTAGRAM, CHEKI HAPA

Posted on Jan 23, 2014 | No Comments


Mwaka huu umeanza kwa mbwembe nyingi sana kutoka kwa wasanii mbali mbali, tukianza na ile ya diamond kununua Toyota Land Cruiser V8 kama ilikupita icheki >>>>hapa<<<, Jide kuonyesha mkoko wake mpyaaaa kama ilikupita icheki hapa >>>>>hapa<<< na ya leo msanii Young Dee kuonyesha nyumba yake aliyonunua kama ilikupita icheki  >>>hapa<<<<<
Sasa mwingine ni msanii Tunda Man aliyeamua kuonyesha Dola za kimarekani pamoja na Bastola yake anayomiliki. Picha hii aliiweka katika akaunti yake ya Instagram ikakaaa kwa mda kidogo kisha akaifuta. Lakini Mdakuzi wetu wa Bongoclan alikua keshainasa na kututumia.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru