AFRICA KUSINI KUWAENZI WAPIGANIA UHURU WAKE
Posted on
Jul 10, 2012
|
No Comments
Makamu wa Rais wa Africa Kusini akihutubia wageni waalikwa kwenye ukumbi wa ndani wa Diamond Jubilee juu ya dhamira yao ya kuenzi wapigania uhuru wake kila mwaka kwa kupitia SOMAFCO TRUST.
Wageni waalikwa kutoka Vyuo Vikuu na Taasisi mbali mbali,wakiwemo pia kutoka Afrika Kusini na nchi marafiki wakisikiliza kwa makini hotuba ya makamu wa Rais wa Afrika Kusini alipoutubia juu ya mikakati ya kuenzi wapigania uhuru,ambapo alisema Mzimbu na Dakawa kutajengwa kumbukumbu maalumu za kistoria kusaidia vizazi vijavyo kutambua wapigania uhuru wao.