photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BREAKING NEWS; WATU KUMI WAUAWA KWENYE UZINDUZI WA MOVIE YA BATMAN.

BREAKING NEWS; WATU KUMI WAUAWA KWENYE UZINDUZI WA MOVIE YA BATMAN.

Posted on Jul 20, 2012 | No Comments


Watu kumi wameuawa kwa kupigwa risasi kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Batman mjini Denvern, nchini Marekani.
Zaidi ya watu 35 wengine wamejeruhiwa kwenye tukio hilo.
Habari zinasema mtu mmoja aliyekuwa amevaa kinyago usoni aliwamiminia risasi watu waliokuwa kwenye ukumbi wa sinema wa huko Aurora, ambako majumba matatu ya sinema yalikuwa yakiionesha kwa mara ya kwanza movie ya The Dark Knight Rises.
Tayari polisi wamemkamata mshukiwa mmoja wa tukio hilo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru