photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BWENI LA WASICHANA MOROGORO SEKONDARI LATEKETEA KWA MOTO

BWENI LA WASICHANA MOROGORO SEKONDARI LATEKETEA KWA MOTO

Posted on Jul 16, 2012 | No Comments


BWENI la wasichana wa shule ya Morogoro Sekondari limeteketea kwa Moto,wanafunzi wa kidato cha 5 na 6  wengi wao waliokuwa kwenye bweni hilo wamepoteza fahamu na kukimbizwa hospital habar  Mkuu wa shule ya morogoro sekondari Thomas Chihwalo[aliyenyoosha mikono] akimaelezo wa tukio hilo kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera [kati[ na mbunge wa jimbo la Morogoro Aziz Abood uskuu huu
Bweni hilo likitetekea na moto huo
 Gari la kikosi cha zima moto likiendele kuuzima moto huo sasa hivi
Baadhi ya mnafunzi wamepoteza fahamu baada ya kunusurika kwenye janga hilo
Baadhi ya wanafunzi wakiokoa mali zao

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru