DIAMOND KUIGIZA KWENYE FILAMU MPYA YA STEPS ENYERYAINMENT.
Posted on
Jul 9, 2012
|
No Comments
Akiongea kwa simu na Bongo5 jana, mtunzi na muongozaji wa filamu hiyo Selles Mapunda amesema, “mwishoni mwa mwaka jana nilikuwa na wazo la kufanya sinema, nilifanya kikao na Diamond pale Lions Hotel Sinza, tukaongea biashara nyingine, tukaenda kwenye show moja Mombasa na yeye lakini pia likaja wazo la kufanya naye sinema.”