photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > DjManGi1; ALBAM YA CHRIS BROWN YAKAMATA NO.1 KWENYE BILLBOARD 200

DjManGi1; ALBAM YA CHRIS BROWN YAKAMATA NO.1 KWENYE BILLBOARD 200

Posted on Jul 11, 2012 | No Comments


Albam mpya ya Chris Brown Fortune imekamata nafasi ya kwanza leo jumatano kwenye chart ya Billboard 200 licha ya kushindwa kuwashawishi wakosoaji wa muziki wiki iliyopita.
"Fortune" imeuza kopi 134,000 katika wiki ya kwanza kwa mujibu wa  Nielsen SoundScan, ikiwa ni idadi ndogo ukilinganisha na albam yake ya mwaka jana, F.A.M.E. ambayo iliuza kopi 270,000 katika wiki ya kwanza na kukamata No. 1.
Hata hivyo albam ya Chris ndo albam mpya iliyoingia kwenye top 10.



Toa Maoni Yako Kwa Uhuru