photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> DR. ASHA-ROSE MIGIRO KUWASILI LEO ALASIRI, VIONGOZI WA UN TANZANIA KUMPOKEA AIRPORT

DR. ASHA-ROSE MIGIRO KUWASILI LEO ALASIRI, VIONGOZI WA UN TANZANIA KUMPOKEA AIRPORT

Posted on Jul 9, 2012 | No Comments

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake 
Dr. Asha-Rose Migiro anawasili leo na ndege ya Emirates na atapokelewa na viongozi wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa waliopo Tanzania, wakiongozwa na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania, 
Dkt. Alberic Kacou.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru