EXTRA BONGO WAANZA MAKAMUZI FINLAND
Posted on
Jul 22, 2012
|
No Comments
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba katika moja ya shoo walizoanza kuzifanya Finland wakati wa Tamasha la First AfrikaKiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela akicheza sambamba na wacheza shoo wenzake FinlandKiongozi wa Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiwaongoza wazungu kucheza baada ya kuvutiwa na staili za wacheza shoo wa bendi hiyo.Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza huku wakiwa kwenye vazi la asili ya Kitanzani nchini Finland kwenye Tamasha la Fist Afrika




