photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> GARI LA ZIMAMOTO LAPATA AJALI DAR

GARI LA ZIMAMOTO LAPATA AJALI DAR

Posted on Jul 20, 2012 | No Comments

Gari la zimamoto la Manispaa ya jiji la Dar es Salaam likiwa limepata ajali katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi. Hali ndivyo livyokuwa.
Magari yakiwa katika msongamano mara baada ya kutokea ajali na kusababisha kufungwa kwa barabara.
Mtangazaji wa ITV, Bw. Sam Mahela akifanya mahijiano na Kaimu Kamishna wa Usalama wa Umma Bw. Fikiri akielezea jinsi tukio lilivyotokea.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru