MARADONA ATIMULIWA UKOCHA ARABUNI BAADA YA MIEZI 14.
Posted on
Jul 11, 2012
|
No Comments
Diego Maradona ametimuliwa tena nafasi ya ukocha, safari hii ikiwa ni katika club ya Al Wasl kutoka nchi za falme za kiarabu, ni baada ya kuifundisha timu hiyo kwa miazi 14 tu.
Ikiwa mkataba wake bado unaonyeshaMaradona bado alikuwa na mwaka mmoja mbele kuifundisha club hiyo, uongozi umenmtimua baada ya kutokuona mafanikio na club hiyo kumaliza ikiwa ya nane (8) katika msimamo wa ligi, point 29 nyuma ya mabingwa Al Ain.