MATUKIO YA RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA (AU) ADDIS ABABA ETHIOPIA
Posted on
Jul 16, 2012
|
No Comments
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati wa kikao maalum kilicojadili masuala ya Maziwa Makuu kilichofanyika jana jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Misri Bwana Mohamed Mursi pamoja na viongozi waandamizi wa Misri wakati wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(AU) uliofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia Jana.(picha na Freddy Maro)


