photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MISS SINZA 2012 JUKWAANI KESHO JULAI 13, 2012 MAWELA SINZA JIJINI DAR...

MISS SINZA 2012 JUKWAANI KESHO JULAI 13, 2012 MAWELA SINZA JIJINI DAR...

Posted on Jul 11, 2012 | No Comments

Warembo wanaowania taji la Redds Miss Sinza 2012, wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kumaliza mazoezi yao leo katika Ukumbi wa Mawela Sinza jijini Dar es Salaam. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani kesho Julai 13, 2012 katika ukumbi huo kuwania taji hilo na tiketi ya kushiriki Miss Kinondoni 2012.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru