MTANGAZAJI WA CLOUDS FM AKIMUHOJI MSTAAFU WA FREEMASONS AFRIKA MASHARIKI, SIR ANDY CHANDE
Posted on
Jul 21, 2012
|
No Comments

Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM Gerald Hando nyumbani kwake kuhusiana na mambo mbalimbali yahusuyo Freemasons,ambayo hivi karibuni yalizua mtafaruku mkubwa miongoni mwa sehemu ya jamii.
*Ukitaka kumfahamu zaaidi ingia www.andychande.com