photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDOA NDOANO; NIMEMPENDA MWANAFUNZI WANGU... NIFANYAJE?..

NDOA NDOANO; NIMEMPENDA MWANAFUNZI WANGU... NIFANYAJE?..

Posted on Jul 21, 2012 | No Comments

Mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....

Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.


Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.

wakuu nambeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru