photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDOA NDOANO; NJIA ZA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI..

NDOA NDOANO; NJIA ZA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI..

Posted on Jul 19, 2012 | No Comments

Loh! Kuna hii TV inaitwa Sibuka. Wanaongelea mapenzi na Amani Misana (nilikuwa namsikiliza sana wakati nikiwa
secondary Times FM) Wanasema mambo yatakayomsaidi mwanamke afike kileleni. . .
Kwamba
1. Mwanamke akifika kileleni kuna hormones zinazotoka ambazo zinaleta 'satisfaction' hivyo hatatoka nje
2. Mwanamke ile afike kileleni asianze yeye. Hata Mr akimwanza akatae katae, asikubali haraka. Basi tendo la ndoa
litakuwa safi na atafika kileleni
3. Mwanamke asimwelekeze mwanaume bali asubiri mwanaume amwelekeze. Hapo watafika
4. Halafu mwanamke akilalamika anaongeza uwezekano wa kufika kileleni
5.Wanawake wengi wanapenda sexual outercourse than intercourse

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru