photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS ELLEN JOHNSON SIRLEAF WA LIBERIA WASILI NCHINI..

RAIS ELLEN JOHNSON SIRLEAF WA LIBERIA WASILI NCHINI..

Posted on Jul 17, 2012 | No Comments

Rais Dk. Jakaya Kikwete akimuongoza mgeni wake Rais Ellen Johnson Sirleaf  wa Liberia mara baada ya kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere leo mchana, Rais Johnson atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru